Vifurushi vya
Monana Market
Chagua package inayokufaa na upate bidhaa za jikoni kwa bei nafuu — delivery bure kwa kila package.
Bei Nafuu
Okoa hadi 30%
Delivery Bure
Kila delivery
Customize
Badilisha bidhaa
Pause Anytime
Simamisha wakati wowote
PASSAKA PACKAGE
We will take care your Futari
-
Siku 30 za usajili
-
Delivery 1x kwa wiki
-
Siku: Sun, Mon, Tue, Wed, Thu, Fri, Sat
-
Chagua bidhaa unavyotaka
Bidhaa Zilizomo:
Weekly Package
Kifurushi cha wiki - Bidhaa za msingi za jikoni kwa siku 7
-
Siku 7 za usajili
-
Delivery 5x kwa wiki
-
Siku: Mon, Tue, Wed, Thu, Fri
-
Chagua bidhaa unavyotaka
Bidhaa Zilizomo:
Monthly Package
Kifurushi cha mwezi - Bidhaa za msingi za jikoni kwa siku 30
-
Siku 30 za usajili
-
Delivery 5x kwa wiki
-
Siku: Mon, Tue, Wed, Thu, Fri
-
Chagua bidhaa unavyotaka
Bidhaa Zilizomo:
+2 bidhaa zaidi
Inavyofanya Kazi
Hatua 3 rahisi tu
Chagua Package
Angalia vifurushi na uchague kinachokufaa
Lipa Mara Moja
Lipa kupitia M-Pesa, Tigo Pesa au Airtel
Pokea Delivery
Bidhaa zitafika mlangoni kwako kwa wakati
Maswali Yanayoulizwa Sana
Jibu la swali lako linaweza kuwa hapa
Ndiyo! Baada ya kujiandikisha, unaweza kubadilisha bidhaa na idadi yake kabla ya kila delivery. Utapata notification ya kukumbusha.
Siku za delivery zinategemea package uliyochagua. Kila package inaonyesha siku za delivery — kwa mfano Jumatatu na Alhamisi, au Jumatano na Jumamosi.
Ndiyo, unaweza kusimamisha (pause) subscription yako wakati wowote kupitia dashboard yako. Siku zilizobaki hazitapotea.
Tunakubali malipo kupitia ZenoPay — M-Pesa, Tigo Pesa, na Airtel Money. Lipa mara moja unapojiandikisha na huduma itaanza mara moja.
Hutaki Subscription?
Unaweza kuagiza bidhaa unavyohitaji moja kwa moja — bila kujiandikisha.
Agiza Custom Order