Chakula Kitamu au Vifurushi vya Jikoni — Vyote Mlangoni Kwako.
Agiza mlo wa leo au jiandikishe kupokea bidhaa za jikoni kila wiki. Haraka, safi, bei nafuu.
500+ Orders
Delivered this month
Hatua 3 Rahisi
Chagua Huduma
Chakula kilichopikwa (Cyber) au bidhaa za jikoni (Market)
Lipia na ZenoPay
M-Pesa, Tigo Pesa, Airtel Money — malipo salama na haraka
Pokea Mlangoni
Delivery ya haraka mpaka nyumbani au ofisini kwako
Mlo wa Leo Uko Tayari
Chagua muda wa mlo unaotaka na uagize chakula kitamu moja kwa moja.
Vifurushi vya Jikoni
Jiandikishe kupata bidhaa za jikoni kila wiki au mwezi — bei nafuu, delivery bure.
PASSAKA PACKAGE
We will take care your Futari
- Siku 30 za usajili
- Delivery 1x kwa wiki
- Chagua bidhaa unavyotaka
- Delivery bure
Weekly Package
Kifurushi cha wiki - Bidhaa za msingi za jikoni kwa siku 7
- Siku 7 za usajili
- Delivery 5x kwa wiki
- Chagua bidhaa unavyotaka
- Delivery bure
Monthly Package
Kifurushi cha mwezi - Bidhaa za msingi za jikoni kwa siku 30
- Siku 30 za usajili
- Delivery 5x kwa wiki
- Chagua bidhaa unavyotaka
- Delivery bure
Watu Wanatusema Nini?
Wateja wetu wanapenda huduma zetu
500+
Orders Delivered
23+
Products Available
3
Subscription Plans
4.8
Customer Rating
"Chakula ni kitamu sana na delivery ni haraka! Nimefurahi sana na huduma ya Monana."
— Amina M., Kinondoni
"Package ya wiki inanisaidia sana kupanga jikoni. Bei nzuri na bidhaa fresh."
— Joseph K., Mikocheni
"Ni rahisi sana kuagiza na kulipa kwa simu. Monana ni juu!"
— Sarah L., Masaki
Tayari Kuanza?
Jiunge na familia ya Monana leo na ufurahie huduma bora za chakula Dar es Salaam.